Select Language:  ENGLISH   |   KISWAHILI

NLUPC Highlights

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Dr. Kebwe S. Kebwe akizungumza katika mkutano wa wadau wa mipango ya matumizi ya ardhi uliofanyika Mjini Morogoro Mwezi Agosti 2016. Dkt. Kebwe S. Kebwe aliwaasa washiriki wa Mkutano kuelekeza nguvu katika kutatua matatizo hususan migogoro ya ardhi na kuwasihi washiriki kutenga muda wa kutembelea vijiji vya bonde la Mgongola na kuongea na jamii ili kujionea hali halisi ya migogoro ya ardhi.

Joomla! Debug Console

Session

Profile Information

Memory Usage

Database Queries